Ufafanuzi msingi wa gunga katika Kiswahili

: gunga1gunga2

gunga1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  toa matibabu.

  ganga

 • 2

  jinyima kitu au jambo ili kupata afya au salama; shika mwiko.

 • 3

  faulu au weza kujizuia kutenda jambo baya.

Matamshi

gunga

/gunga/

Ufafanuzi msingi wa gunga katika Kiswahili

: gunga1gunga2

gunga2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

Matamshi

gunga

/gunga/