Ufafanuzi wa gunge katika Kiswahili

gunge

nominoPlural magunge

  • 1

    mtu stadi wa elimu au mchezo fulani, agh. hutumika kwa ufundi wa uchawi au uganga.

    fundi, hodari

Matamshi

gunge

/gungɛ/