Ufafanuzi wa guro katika Kiswahili

guro

nominoPlural guro

  • 1

    hali ya kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Matamshi

guro

/gurɔ/