Ufafanuzi msingi wa haba katika Kiswahili

: haba1haba2

haba1

kivumishi

 • 1

  kisichotosha.

  ‘Chakula haba’
  kidogo, -chache, kalili

Asili

Kar

Matamshi

haba

/haba/

Ufafanuzi msingi wa haba katika Kiswahili

: haba1haba2

haba2

nominoPlural haba

 • 1

  msokoto wa sigara au bangi.

  ‘Nataka haba tatu’

Matamshi

haba

/haba/