Ufafanuzi wa habari katika Kiswahili

habari

nominoPlural habari

 • 1

  maelezo ya jambo fulani lililotokea.

  taarifa, ujumbe, kaifa, ripoti

 • 2

  hutumika katika kuamkiana na kuulizana hali.

  ‘Habari gani?’
  ‘Habari za asubuhi/ jioni/safari/jana/siku nyingi?’

Asili

Kar

Matamshi

habari

/habari/