Ufafanuzi wa hadimu katika Kiswahili

hadimu

nominoPlural mahadimu

  • 1

    mtu anayemtumikia mwingine.

    mtumishi

  • 2

    mtumwa huru.

Asili

Kar

Matamshi

hadimu

/hadimu/