Ufafanuzi wa hagali katika Kiswahili

hagali

nominoPlural hagali

  • 1

    vazi la mwanamume la kichwani la kitambaa, agh. cheupe, kinachoshikizwa kwa mshipi wa kigwe.

Asili

Kar

Matamshi

hagali

/hagali/