Ufafanuzi wa haibiskasi katika Kiswahili

haibiskasi

nominoPlural haibiskasi

  • 1

    mmea wa nchi za tropiki unaotoa maua makubwa yenye rangi angavu za kupendeza.

  • 2

    ua lake.

Asili

Kng

Matamshi

haibiskasi

/haIbiskasi/