Ufafanuzi wa haidra katika Kiswahili

haidra

nomino

  • 1

    joka kubwa la baharini lenye vichwa vingi.

Asili

Kng

Matamshi

haidra

/haIdra/