Ufafanuzi wa hakimu katika Kiswahili

hakimu

nominoPlural mahakimu

  • 1

    mtaalamu wa sheria anayeajiriwa kusikiliza mashtaka kortini na kutoa uamuzi.

    jaji, kadhi

  • 2

    mwamuzi baina ya pande mbili au zaidi katika mgogoro.

Asili

Kar

Matamshi

hakimu

/hakimu/