Ufafanuzi wa hamadi! katika Kiswahili

hamadi!

kiingizi

 • 1

  neno la kutakia kitu kipone au kinusurike k.v. mtu anapojikwaa na kutaka kuanguka, mwingine husema.

  ‘Hamadi!yaani hutaka anusurike’

 • 2

  hutumika kwa maana ya shtukia, tahamaki, juta.

  ‘Chukueni chakula safarini msije piga hamadi’
  ‘Nilimfuata mke wangu nyumbani kwao, hamadi mke hayuko’

Asili

Kar

Matamshi

hamadi!

/hamadi/