Ufafanuzi msingi wa hando katika Kiswahili

: hando1hando2hando3

hando1

nominoPlural mahando, Plural hando

  • 1

    chombo cha shaba au fedha kama mtungi.

Asili

Khi

Matamshi

hando

/handɔ/

Ufafanuzi msingi wa hando katika Kiswahili

: hando1hando2hando3

hando2

nominoPlural mahando, Plural hando

  • 1

    andazi mfano wa chapati lililokaangwa na kutoswa katika sukari iliyochemshwa.

Matamshi

hando

/handɔ/

Ufafanuzi msingi wa hando katika Kiswahili

: hando1hando2hando3

hando3

nominoPlural mahando, Plural hando

  • 1

    vazi linalofanana na sketi ambalo huvaliwa na wanawake wa baadhi ya makabila ya Mijikenda.

Matamshi

hando

/handɔ/