Ufafanuzi wa hanzua katika Kiswahili

hanzua

nomino

  • 1

    tari
    and → shela

  • 2

    ngoma ndogo iliyowambwa pande zote mbili lakini kubwa kuliko chapuo.

Matamshi

hanzua

/hanzuwa/