Ufafanuzi wa hapana! katika Kiswahili

hapana!

kiingizi

  • 1

    neno la kukataa.

    la!, siyo!, hasha!

  • 2

    neno la kukataza au kutoruhusu.

    ‘Hapana ruhusa kuingia ndani’

Matamshi

hapana!

/hapana/