Ufafanuzi wa haramu katika Kiswahili

haramu

kivumishi

  • 1

    -enye kwenda kinyume cha sheria, kanuni au amri za Mungu.

  • 2

    -siyoruhusiwa, -sio halali.

    ‘Kwa Waislamu kula nguruwe au kulewa ni haramu’
    ‘Mwana wa haramu’

Asili

Kar

Matamshi

haramu

/haramu/