Ufafanuzi msingi wa hasara katika Kiswahili

: hasara1hasara2

hasara1

nominoPlural hasara

 • 1

  upotevu wa mali katika biashara; ukosefu wa faida.

  ‘Pata hasara’
  ‘Tia hasara’
  ‘Faida na hasara katika biashara’

Matamshi

hasara

/hasara/

Ufafanuzi msingi wa hasara katika Kiswahili

: hasara1hasara2

hasara2

nominoPlural hasara

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  maangamizi katika bahari.

Asili

Kar

Matamshi

hasara

/hasara/