Ufafanuzi wa hasho katika Kiswahili

hasho

nominoPlural mahasho

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kipande cha ubao au cha chuma kinachowekwa katika chombo cha majini ili kuzibia tundu au ufa.

 • 2

  Kibaharia
  kipande cha mti au tambara linalotumika kuziba tundu.

  ‘Tia hasho’
  kizibo

Asili

Kar

Matamshi

hasho

/ha∫ɔ/