Ufafanuzi wa hatari katika Kiswahili

hatari

nominoPlural hatari

  • 1

    hali ya kutokuwa katika usalama; hali ya kuleta maafa.

    ‘Hali ya hatari’

Asili

Kar

Matamshi

hatari

/hatari/