Ufafanuzi wa hatikiapo katika Kiswahili

hatikiapo

nomino

  • 1

    kiapo anachotoa mtu ili kuhakikisha ukweli kuwa atatekeleza mambo yaliyotajwa.

  • 2

    maneno ya kiapo anayoyasema mtu mbele ya mwanasheria kuthibitisha ukweli.

Asili

Kar

Matamshi

hatikiapo

/hatikijapÉ”/