Ufafanuzi wa hedimasta katika Kiswahili

hedimasta

nomino

  • 1

    mkuu wa shule wa kiume.

Asili

Kng

Matamshi

hedimasta

/hɛdimasta/