Ufafanuzi wa hekima katika Kiswahili

hekima

nominoPlural hekima

  • 1

  • 2

    maarifa yaliyopatikana kutokana na uzoefu wa muda mrefu.

    ‘Tumia hekima’
    ujuzi, ujanja, falsafa, maarifa

Asili

Kar

Matamshi

hekima

/hɛkima/