Ufafanuzi wa herini katika Kiswahili

herini

nominoPlural herini

  • 1

    pambo la wanawake k.v. la dhahabu au fedha linalovaliwa masikioni.

    bali, kipuli, nti

Matamshi

herini

/hɛrini/