Ufafanuzi msingi wa herufi katika Kiswahili

: herufi1herufi2herufi3

herufi1

nominoPlural herufi

 • 1

  alama inayowakilisha sauti k.v. a, b, ch, d na ambayo inatumika pamoja na nyingine kuunda neno.

  ‘Herufi za Kiarabu’
  ‘Herufi za Kirumi’

Asili

Kar

Matamshi

herufi

/hɛrufi/

Ufafanuzi msingi wa herufi katika Kiswahili

: herufi1herufi2herufi3

herufi2

nominoPlural herufi

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  alama ya kuandika inayowakilisha vitamkwa.

Asili

Kar

Matamshi

herufi

/hɛrufi/

Ufafanuzi msingi wa herufi katika Kiswahili

: herufi1herufi2herufi3

herufi3

nominoPlural herufi

Asili

Kar

Matamshi

herufi

/hɛrufi/