Ufafanuzi wa heza katika Kiswahili

heza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya mtu ashindwe jambo au kazi anayoiweza.

    ‘Kila siku Juma hujisifu kuwa ni fundi wa kulima lakini leo tutamheza, tumpe ngwe ya watu kumi’
    chagiza

Matamshi

heza

/hɛza/