Ufafanuzi wa hidrojeni katika Kiswahili

hidrojeni, haidrojeni

nominoPlural hidrojeni

Kemia
  • 1

    Kemia
    gesi ambayo haina rangi, ladha au harufu na ni elementi nyepesi kabisa.

Asili

Kng

Matamshi

hidrojeni

/hidrɔʄɛni/