Ufafanuzi msingi wa hindi katika Kiswahili

: hindi1Hindi2

hindi1

nomino

  • 1

    mkusanyiko wa punje za mahindi katika gunzi lake.

Matamshi

hindi

/hindi/

Ufafanuzi msingi wa hindi katika Kiswahili

: hindi1Hindi2

Hindi2

nomino

  • 1

    bahari kuu iliyopo kusini ya Bara la India inayozagaa kutoka mashariki ya Pwani ya Afrika hadi visiwa vya Malesia na Australia.

Matamshi

Hindi

/hindi/