Ufafanuzi wa hirizi katika Kiswahili

hirizi

nominoPlural hirizi

  • 1

    kitu cha kuvaa mwilini kama vile karatasi iliyo na maandishi maalumu, kipande cha mti au uganga uliofungwa kwenye nguo, ngozi, n.k. kinachoaminiwa kuwa ni dawa ya kujikinga na madhara.

    azima, talasimu, dawa, kago, pagao, amali

Asili

Kar

Matamshi

hirizi

/hirizi/