Ufafanuzi msingi wa hisi katika Kiswahili

: hisi1hisi2

hisi1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  tambua kwa kusikia, kuona, kunusa, kuonja au kugusa.

 • 2

  jua moyoni; tambua moyoni.

  waza

Asili

Kar

Matamshi

hisi

/hisi/

Ufafanuzi msingi wa hisi katika Kiswahili

: hisi1hisi2

hisi2 , hisia

nominoPlural hisi

 • 1

  mojawapo ya aina tano za utambuzi kusikia, kuona, kunusa, kuonja na kugusa.

 • 2

  uwezo wa kuonja, kusikia, kugusa, kuona au kunusa.

  kauli

 • 3

  mapenzi

Asili

Kar

Matamshi

hisi

/hisi/