Ufafanuzi wa historia katika Kiswahili

historia

nominoPlural historia

  • 1

    elimu maalumu inayohusiana na matukio na mambo yaliyopita.

    tarehe, salua, mapisi, kale

Asili

Kng

Matamshi

historia

/histɔrija/