Ufafanuzi msingi wa hodari katika Kiswahili

: hodari1hodari2

hodari1

kivumishi

  • 1

    -enye kuweza kufanya kinachowashinda wengi.

    fahali, jasiri, labibu

Asili

Kar

Matamshi

hodari

/hɔdari/

Ufafanuzi msingi wa hodari katika Kiswahili

: hodari1hodari2

hodari2

nominoPlural mahodari

Asili

Kar

Matamshi

hodari

/hɔdari/