Ufafanuzi wa hohosa katika Kiswahili

hohosa

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    sema maneno yasiyofahamika k.v. katika usingizi.

    weweseka

Matamshi

hohosa

/hɔhɔsa/