Ufafanuzi wa hoki katika Kiswahili

hoki

nominoPlural hoki

  • 1

    mchezo ambao hutumia magongo maalumu yaliyopindwa upande mmoja kwa kupigia mpira mdogo mgumu, huhitaji timu mbili za watu kumi na mmoja kila upande; mpira wa magongo.

  • 2

    fimbo inayotumiwa na kiongozi wa ngoma k.v. wa bendi ya polisi.

    kome

Asili

Kng

Matamshi

hoki

/hɔki/