Ufafanuzi wa hondohondo katika Kiswahili

hondohondo

nominoPlural hondohondo

  • 1

    ndege mkubwa kuliko kunguru, mwenye rangi mbalimbali, hasa nyeusi mgongoni na weupe tumboni, ana mdomo mkubwa uliopinda mwishoni, macho yamezungukwa na rangi nyekundu, na huwa na sauti kubwa ‘ho, ho, ho’.

Matamshi

hondohondo

/hɔndɔhɔndɔ/