Ufafanuzi wa honyoa katika Kiswahili

honyoa

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~lesha

  • 1

    kula bila ya kufikiria gharama yake kwa sababu ni vya bure.

Matamshi

honyoa

/hɔɲɔwa/