Ufafanuzi msingi wa howa katika Kiswahili

: howa1howa2

howa1

nominoPlural howa

  • 1

    mifugo au mnyama wa kufugwa.

Matamshi

howa

/hɔwa/

Ufafanuzi msingi wa howa katika Kiswahili

: howa1howa2

howa2

kiingizi

  • 1

    neno la kumnyamazishia mtoto mchanga anayelia.

    ‘Howa mwanangu’

Matamshi

howa

/hɔwa/