Ufafanuzi wa huduma ya kwanza katika Kiswahili

huduma ya kwanza

  • 1

    msaada wa tiba anaopewa mgonjwa au majeruhi kabla ya kupelekwa hospitali au kumwona daktari.