Ufafanuzi wa idhaa katika Kiswahili

idhaa

nominoPlural idhaa

  • 1

    kitengo maalumu cha matangazo ya redio.

    ‘Idhaa ya Taifa ya Redio Tanzania’
    ‘Idhaa ya Kiswahili ya BBC’

Asili

Kar

Matamshi

idhaa

/Iða:/