Ufafanuzi wa ili katika Kiswahili

ili

kiunganishi

  • 1

    kwa sababu ya; kwa ajili ya.

    ‘Tulikwenda kijijini ili tuonane na wakulima’
    sababu, ajili

Asili

Kar

Matamshi

ili

/Ili/