Ufafanuzi msingi wa imara katika Kiswahili

: imara1imara2

imara1

nominoPlural imara

  • 1

    hali ya kuwa madhubuti.

Asili

Kar

Matamshi

imara

/Imara/

Ufafanuzi msingi wa imara katika Kiswahili

: imara1imara2

imara2

kivumishi

  • 1

    -siotikisika; -enye nguvu.

    madhubuti, thabiti, jadidi, tisti, kisaki, kikiki, ngangari

Asili

Kar

Matamshi

imara

/Imara/