Ufafanuzi wa imarisha katika Kiswahili

imarisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya iwe imara; fanya iwe madhubuti.

    jenga

  • 2

    stawisha, amirisha

Asili

Kar

Matamshi

imarisha

/Imariāˆ«a/