Ufafanuzi wa Ingia mafa katika Kiswahili

Ingia mafa

msemo

  • 1

    rithi mke wa ndugu kwa kumuoa; chukua mali au watoto wa ndugu aliyekufa.