Ufafanuzi wa isipokuwa katika Kiswahili

isipokuwa

kielezi

  • 1

    hutumika kuelezea jambo lililo mbali na jingine; ghairi ya; mbali ya.

    ‘Fundi amepaka rangi vyumba vyote isipokuwa sebule’
    ila, kasoro, bali, lakini

Matamshi

isipokuwa

/Isipɔkuwa/