Ufafanuzi wa istiara katika Kiswahili

istiara

nominoPlural istiara

  • 1

    matumizi ya neno kueleza jambo ambalo maana yake ni tofauti na maana ya kawaida ya neno hilo japokuwa huwa na uhusiano wa namna fulani.

Asili

Kar

Matamshi

istiara

/Istiara/