Ufafanuzi wa istiimari katika Kiswahili

istiimari

nominoPlural istiimari

  • 1

    utaratibu ambao nchi moja hutawala nchi nyingine kama koloni lake.

    ukoloni

Asili

Kar

Matamshi

istiimari

/Isti:mari/