Ufafanuzi wa jabara katika Kiswahili

jabara

nomino

  • 1

    uganga wa kuunganisha viungo vilivyoachana au mifupa iliyovunjika.

    uhazigi

Matamshi

jabara

/Ê„abara/