Ufafanuzi wa jaliza katika Kiswahili

jaliza

kitenzi elekezi

  • 1

    ongeza ili ijae kabisa.

    jaza

Matamshi

jaliza

/Ę„aliza/