Ufafanuzi msingi wa jaluba katika Kiswahili

: jaluba1jaluba2

jaluba1

nomino

  • 1

    chombo kidogo kinachotumiwa kutilia uraibu.

    mfuraha

Asili

Kar

Matamshi

jaluba

/ʄaluba/

Ufafanuzi msingi wa jaluba katika Kiswahili

: jaluba1jaluba2

jaluba2

nomino

  • 1

    kipande cha shamba la mpunga.

Matamshi

jaluba

/ʄaluba/