Ufafanuzi msingi wa jamaa katika Kiswahili

: jamaa1jamaa2jamaa3

jamaa1

nominoPlural jamaa

 • 1

  watu wa ukoo mmoja.

  ndugu, jinsi, akraba

 • 2

  watu wenye uhusiano fulani.

Asili

Kar

Matamshi

jamaa

/ʄama:/

Ufafanuzi msingi wa jamaa katika Kiswahili

: jamaa1jamaa2jamaa3

jamaa2

nominoPlural jamaa

 • 1

  mtu ambaye jina lake halifahamiki au halitajwi.

  ‘Yule jamaa alifika?’

Asili

Kar

Matamshi

jamaa

/ʄama:/

Ufafanuzi msingi wa jamaa katika Kiswahili

: jamaa1jamaa2jamaa3

jamaa3

nominoPlural jamaa

 • 1

  sala ya pamoja k.v. msikitini.

  ‘Tumesali sala ya Adhuhuri jamaa’

Asili

Kar

Matamshi

jamaa

/ʄama:/