Ufafanuzi wa jamba katika Kiswahili

jamba

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toa ushuzi.

    sura, shuta

Matamshi

jamba

/ʄamba/