Ufafanuzi wa jamdani katika Kiswahili

jamdani

nomino

  • 1

    utepe mweupe wa kupambia nguo za wanawake.

Asili

Kar

Matamshi

jamdani

/Ê„amdani/